Maafisa wa usalama wamechukua udhibiti wa soko kuu la biasahra la Westgate Shopping Centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013. Washambulizi wakiwa na bunduki walishambulia soko hilo lenya maduka ya kifahari siku ya jumamosi na kuwauwa takriban watu 30, katika kile maafisa wa Kenya wanaeleza ni shambulio la kigaidi. Tahadhari kuna picha za kustusha.
Soko kuu la Westgate mjini Nairobi lashambuliwa

13
Polisi anajaribu kuhakikisha hakuna mshambuliaji katika eneo alofika baada ya shambulio ndani ya soko la Westgate Nairobi Sept. 20, 2013.

14
Maafisa wa usalama waloingia ndani ya soko la Westgate waoneshana mahala huwenda kuna washambulizi, ndani ya soko hilo walovamia siku ya jumamosi mjini Nairobi Sept. 21, 2013.

15
Watu wakimbia wakiinua mikono juu kutoka soko la Westgate Mall mjin Nairobi Sept. 21, 2013.