"kwa jumla, tuna habari za vifo vya watu 207 kutoka hospitali zote. Kwa mujibu wa habari hiyo mpaka sasa tuna watu 450 waliojeruhiwa na wamelazwa hospitali,” alisema msemaji wa polisi Ruwan Gunasekera.
Shambulizi la Sri Lanka : Athari zake kwa raia na mali za nchi hiyo
Taarifa zinaeleza maeneo yaliyoshambuliwa mjini Colombo ni makanisa matatu na hoteli ikiwemo Shangri-La, Kingsbury, Cinnamon Grand na Tropical Inn karibu na makazi ya wanyama pori. Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe ameitisha mkutano wa baraza la usalama Jumapili.

5
Wanajeshi wa Srl Lanka wakiwa wanalinda eneo la kanisa ambako moja wapo ambapo shambuliz lilitokea.

6
Vijana wakimsaidia mwanamke mkongwe kutoka katika eneo la Kanisa baada ya mlipuko kutokea.

8
Picha ya video ikionyesha uharibifu uliotokea baada ya mlipuko katika kanisa.

9
Kikosi maalum kikiingia katika nyumba iliyoko mji wa Colombo kufanya upekuzi mara baada ya mlipuko nchini Sri Lanka.