Uchaguzi unafanyika wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, na kugubikwa na wasiwasi wa ghasia pindi matokeo hayataridhisha upande wowote kati ya wagombea wawili wanaoongoza.
Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika wakati janga la corona likiendelea
Karibu wa-Rundi elfu tano wanashiriki katika uchaguzi mkuu wa kwanza wenye ushindani tangu kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1998. Uchaguzi huu unafikisha ukingoni utawala wa miaka 15 wa Rais Pierre Nkurunziza.

9
Mpiga kura akiweka kura yake ndani ya sanduku wakati wa uchaguzi mkuu Burundi

10
Wajumbe wa tume ya uchaguzi (CENI) wazungumza na wapiga kura wakati wa uchaguzi mkuu Burundi