Maelfu ya watu wahudhuria mkutano kupinga mashambulizi ya bunduki
Maelfu ya Watu washiriki kwenye maandamano na mikutano ya kupinga mashambulizi ya buduki, wakitoa wito wa hatua kali kcuhukuliwa ili kudhibiti bunduki Maekani.

9
Muuza vifungo vya March for our Lives

10
Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

11
Wanaharakati dhidi ya bunduki wahutubia mkutano wa "March for our Lives", mjini Washington DC.

12
Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC, Jumamosi, June 11, 2022.