Kampeni za uchaguzi DRC zimepamba moto
- Abdushakur Aboud
Wagombea kiti cha rais katika uchaguzi wa Disemba 20 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanazunguka nchi nzima kunadi siasa na sera zao kukiwepo na idadi kubwa ya wafuasi wanaojitokeza kwa mikutano yao.

5
Wafuasi wa Dk Denis Mukwege mgombea kiti cha rais cha Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wamekusanyika kwenye uwanja wa Bukavu Kivu ya Kusini.

6
Mshindi wa tunzo ya amani ya Nobel 2018, Dk Denis Mukwege akiwapungia mkono wafuasi walojitokeza kumunga mkono Goma

7
Mgombea kiti cha rais Martin Fayulu Akikwasili Goma kuwahutubia wafuasi wake.

8
Mgombea kiti cha rais wa DRC, Moise Katumbi akitembelea familia wakati wa kampeni yake mjini Butembo