Katibu Mkuu huyo alitumikia awamu mbili katika wadhifa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye alisimamia tukio la kihistoria ya kusitisha mapigano kati ya Iran na Iraq mwaka 1988. Pia baadae katika uhai wake alijitokeza akiwa mstaafu kusaidia kurejesha demokrasia katika nchi yake ya Peru.
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Javier Pérez de Cuéllar aaga dunia
Javier Pérez de Cuéllar, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 100, wizara ya mambo ya nje ya Peru imesema.

1
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Javier Perez de Cuellar akiongea juu ya madai ya udukuzi wa kijasusi wa simu yake katika mkutano na waandishi wa habari Lima, Peru Jumatatu Aug. 4, 1997.

2
Waziri Mkuu mpya wa Peru Javier Perez de Cuellar akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili Lima, Peru, November 23, 2000. REUTERS/Mariana Bazo/File Photo

3
FILE - Mnamo Machi. 28, 2001 (Picha ya kumbukumbu), Waziri wa Mambo ya Nje Javier Perez de Cuellar of Peru, akiongea na waandishi wa habari wakati wa muda wa mapumziko katika kikao cha kila mwaka cha mawaziri kutoka Kikundi cha Rio cha Amerika ya Kati na Umoja wa Ulaya huko Santiago.