Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Viongozi wa Afrika na Marekani wanakutana Washington
Rais wa Marekani Joe Biden atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka nchi za Afrika kuanzia kesho Jumanne hapa Washington DC, wakati White House ikiweka mikakati ya kupunguza pengo la ukosefu wa uaminifu kati ya Marekani na Afrika, jambo ambalo limekuwa liokiongezeka kwa muda wa miaka kadhaa.
Matukio
-
Novemba 10, 2025Duniani Leo
-
Novemba 07, 2025Duniani Leo
-
Novemba 06, 2025Duniani Leo
-
Novemba 05, 2025Duniani Leo
-
Novemba 04, 2025Duniani Leo
-
Novemba 03, 2025Duniani Leo