Chama tawala Nigeria chapata mwenyekiti mpya
Your browser doesn’t support HTML5
Chama tawala nchini Nigeria kimemteua mwenyekiti mpya katika kongamano la kitaifa linalonuia kumaliza mizozo huku kikijiandaa kumchagua mgombea atakayechukua nafasi ya Rais Muhammadu Buhari katika uchaguzi wa mwaka 2023.