Zaidi ya raia 8,000 wa DRC wakimbilia Uganda.
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa nchini Uganda wanasema zaidi ya raia 8,000 kutoka DRC wamekimbilia nchini humo wakitoroka mapigano ya hivi karibuni kati ya waasi wa M23 na Jeshi la DRC.
Your browser doesn’t support HTML5