Rais Biden atangaza kutolewa kwa kiwango kikubwa cha mafuta ya akiba
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta ametangaza kutolewa kwa kiwango kikubwa cha mafuta ya akiba kuwahi kutolewa nchii Marekani.