Wasikilizaji wa VOA Swahili watuma salamu kwa ndugu na marafiki

Your browser doesn’t support HTML5

Kipindi cha Salamu na Muziki hii leo kinaendeshwa na mtangazaji wako Harrison Kamau ambapo salamu za wasikilizaji zinapeperushwa moja kwa moja kutoka mjini Washington DC zikiandamana na vibao motomoto vya muziki uupendao, pamoja pia na habari za kimataifa.