Mtoto wa kike akabiliwa na changamoto nyingi kufikia ndoto zake za kielimu
Your browser doesn’t support HTML5
Mkurugenzi wa shirika linato tetea maslahi ya mtoto wa kike nchini Tanzania, Devota Mlay, asema watoto wengi wa kike huacha shule tofauti na wavulana.
Matumizi ya wanenguaji wa kike katika harakati za siasa za uchaguzi Kenya yaelezwa kuwa ni moja ya kero na udhalilishaji wa mwanamke.