Kenya-Raia mmoja amshtaki mkurungenzi wa mashtaka ya umma.

Your browser doesn’t support HTML5

Charles Rubia amemshtaki mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Hadj kwa kutowafungulia mashtaka ya ufisadi wanasiasa kabla ya uchaguzi wa Agosti 9.