Kampuni ya Uber yasitisha huduma zake Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Uber imetangaza kusitisha huduma zake nchini Tanzania, ikitaja nauli elekezi za Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini -LATRA
kama sababu ya maamuzi hayo na kudai itarejesha huduma zake
kwa nchi hiyo iwapo sheria zitabadilishwa.