Serikali za Afrika Mashariki zashauriwa kuhusu jinsi ya kuepukana na athari mbaya za kiuchumi kutokana na uhaba wa mafuta
Your browser doesn’t support HTML5
Wataalam wanasema uhaba wa mafuta unaoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki huenda ukawa na athari mbaya zaidi za kiuchumi katika siku za usoni.