Wanafunzi wa kike wa elimu ya juu wapambana na rushwa ya ngono.

Your browser doesn’t support HTML5

Wasichana wanaosoma elimu ya juu katika vyuo vikuu nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo rushwa ya ngono .