Rais Kibaki akumbukwa na viongozi wa dunia
Your browser doesn’t support HTML5
Jukwaa la waandishi leo linakupatia mkhtasari wa habari kuu za wiki, zikiwa ni pamoja na kifo cha Rais Mwai Kibaki wa Kenya, ziara ya Royal tour ta Rais Samia na kufungwa jela kwa raia wa China nchini Rwanda