Kenya kufanya mazishi ya kitaifa ya Rais Mwai Kibaki wiki ijayo
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya itafanya mazishi ya kitaifa wiki ijayo ya rais wa zamani Mwai Kibaki, ambaye aliliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kwa zaidi ya muongo mmoja, Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiangi alisema Jumamosi.