Rais wa Tanzania asema suala la uraia pacha halipo kwa sasa.
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesisitiza nia ya serikali yake kutoa hadhi maalum kwa watanzania wanaoishi ughaibuni badala ya uraia pacha.