Wamiliki bodaboda Uganda walalamikia viwango vya juu vya riba
Your browser doesn’t support HTML5
Makampuni na mashirika ya kutoa mikopo Uganda yanashutumiwa na wamiliki wa bodaboda kwa kile kinachoelezewa kama kupandiswha kiholela riba zinazotozwa wanapolipa mikopo ya pikipiki zao.