Mipango ya serikali ya mpito Guinea kumfungulia mashtaka Alpha Conde huenda ikakumbwa na mashaka

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti uliofanywa na Afrobarometer mwaka 2019 ulionyesha kwamba zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wanaona kwamba idara ya mahakama nchini humo imejaa rushwa