Wauguzi waenziwa siku moja baada ya maadhimisho rasmi ya Siku yao licha ya changamoto katika taaluma hiyo kuongezeka
Your browser doesn’t support HTML5
Katika wiki ambayo duniani imeadhimisha Siku ya Wauguzi, hafla mbalimbali zimeendelea kufanyika huku wahudumu hao wa afya wakiendelea kuenziwa na kutuzwa kwa kazi yao nzuri, ambayo pia imeendelea kukabiliwa na changamoto chungu nzima