Biden aonya dhidi ya kuishambulia Taiwan

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden, akiwa ziarani nchini Japan, amesema kwamba Marekani iko tayari kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi iwapo China itaishambulia Taiwan.