Hisia bada ya serikali ya Kenya kudai kwamba wanasiasa wengi wanahusika katika utakatishaji fedha

Your browser doesn’t support HTML5

Tunazungumza na wadau mbalimbali, wakiwemo wachambuzi na wanasiasa, kufuatia tangazo la serikali kwamba visa vya utakatishaji fedha baina ya wanasiasa vimekithiri