Rais Biden atia saini amri ya kiutendaji kuboresha uwajibikaji katika jeshi la polisi
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden alitia saini amri ya kiutendaji Jumatano kuboresha uwajibikaji katika jeshi la polisi. Hii inajiri katika kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kifo cha George Floyd aliyeuwawa na Polisi huko Minnesota .