KWA UNDANI: Maoni ya wandishi wa habari kuhusu mashambulizi ya risasi Marekani na vita vya Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.