Wamarekani waadhimisha sikukuu ya mashujaa
Your browser doesn’t support HTML5
Wamarekani wanaadhimisha siku ya mashujaa , ambayo inawakumbuka wanajeshi wa Marekani waliokufa wakilitumikia taifa lao.
Gwaride lilifanyika mjini Washington baada ya kutofanyika kwa miaka miwili kwa sababu ya janga la COVID.