Mapigano makali yaendelea kwenye jimbo la Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Your browser doesn’t support HTML5
Ripoti kutoka kwenye jimbo hilo zinasema kwamba kufikia Jumatatu watu 50 wameuwawa kwenye mapigano hayo kati ya vikosi vya serikali na kundi la waasi la M23.