Viongozi wa EU wajaribu kuwa na msimamo mmoja juu ya marufuku ya mafuta ya Russia
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya katika mkutano wao wa Jumatatu mjini Brussels wameshindwa kuafikiana juu ya marufuku dhidi ya mafuta ya Russia, huku Hungary ikionekana kutounga mkono marufuku hiyo.