Rwanda yaonya kuwa itajibu mashambulizi ya uchokozi kutoka DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Rwanda imeonya kwamba itakuwa tayari kujibu mashambulizi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, endapo kile inachokitaja kama uchokozi wa kupigwa makombora na jirani yake utaendelea.