Tanzania yavitaka vyuo vikuu kufuata mtaala unaozingatia ujuzi na taaluma
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Elimu wa Tanzania ameviagiza vyuo vikuu kuanza mchakato wa kubuni mtaala ambao unazingatia zaidi taaluma na ujuzi badala ya masomo tu ya kawaida, huku wakososaji wakisema mtaala kama huo katika shule za msing bado haujatekelezwa.