Tanzania, Uganda zawasilisha bajeti zao za 2022/2022 bungeni
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Fedha wa Tanzania amewasilisha makadirio ya matumizi ya fedha za serikali bungeni akiZimia kutenga pesa za kugharamia miradi mbalimbali hukku mwenzake wa Uganda, akitenga Shilingi Trilioni 4 kwa seka ya usalama.