Ukatili na manyanyaso dhidi ya watoto yaongezeka Afrika Mashariki
Your browser doesn’t support HTML5
Tarehe 16 ni siku ya kimataifa ya mtoto wa Afrika .Kaulimbiu “Tuimarishe ulinzi wa Mtoto" . Tunamulika madhila na ukatili kwa watoto na yale yanayofanyika ili kuwalinda.