Viongozi wanne wa nchi za ulaya waahidi kuiunga mkono azma ya Ukraine kujiunga na jumuiya hiyo
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ni kati ya viongozi waliozuru Ukraine na kuahidi msaada zaidi wa silaha na uungwaji mkono wa azma ya nchi hiyo kujiunga na umoja wa ulaya.