Mwanamfalme Charles na mkewe watembelea kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari

Your browser doesn’t support HTML5

Mrithi huyo wa kiti cha ufalme wa Uingereza anawasili huku kukiwa na utata kuhusu mpango wa Uingereza kupeleka waomba hifadhi nchini Rwanda.