Wanaharakati waitaka serikali ya Kenya kuwapa kipaumbele vijana wanapowaajiri walimu

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa kutetea haki za vijana wanaitaka tume ya walimu Kenya kutilia maanani kwamba vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu hawana kazi wakati ikanza mchakato wa kuwaajiri walimu takriban 15,000