Mzozo kati ya walimu wa sayansi na wenzao wa sanaa waendelea kutokota Uganda.

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Uganda imesema kwamba sasa ipo tayari kuzungumza na waalimu wa sanaa wanaolalamikia kuongezwa kwa mishahara ya wenzao wa sayansi kwa asilimia 300, lakini ni lazima warejee kazini kwanza.