Rwanda na Burundi za adhimisha siku ya uhuru wao uliopatikana Julai mwaka wa 1962.

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe hizo zimefanyika nchini Burundi kwa njia rasmi, na japo hazikufanyika kwa njia rasmi nchini Rwanda, japo bado ni siku kuu ya kitaifa inayotambuliwa na serikali, kulingana na mchambuzi kutoka nchini humo.