Watetezi haki wataka kesi ya marufuku ya wasichana wenye mimba kuendelea na masomo Tanzania isikilizwe
Your browser doesn’t support HTML5
Miaka miwili tangu mashirika ya kutetea haki kuwasilisha hoja mahakamani kupinga marufuku iliyowekwa na Rais Magufuli kuwakataza wasichana waliopata mimba kwendelea na masomo, kesi hiyo bado haijatatuliwa.