Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Jumanne alifikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha mzozo wa mpaka
Your browser doesn’t support HTML5
Abiy alikutana na kiongozi wa kijeshi wa Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan katika mji mkuu wa Nairobi pembeni ya mkutano wa IGAD ambao unaundwa na nchi wanachama wanane wa Pembe ya Afrika na mataifa jirani