Chama tawala cha Tanzania CCM chakiri kuna umuhimu wa nchi kupata katiba mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Msukumo wa kutaka kuifanyia mageuzi katiba ya sasa ya Tanzania ulionekana kupata kasi mpya baada ya chama kinachotawala CCM, kukubaliana na upinzani kuhusu umuhimu wa zoezi hilo.