Kufo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Japan chashangaza viongozi wengi
Your browser doesn’t support HTML5
Kufuatia kuuawa kwa waziri mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe, viongozi mbalmbali duniani wameeleza kushtushwa kwao hususan kwa sababu nchi hiyo haina rekodi mbaya ya uhalifu wa kutumia bunduki.