Wazazi nchini Kenya walalamikia hali ngumu ya kiuchumi wakati wanafunzi wanapo fungua shule.
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya wazazi wanasema kwamba hali ngumu ya kiuchumi kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa, kampeni zinazoendelea , pamoja na muda mfupi wa likizo zimesababisha hali hiyo.