Familia za watu waliotekwa nyara Nigeria zaandamana ili kushinikiza kuachiliwa kwao

Your browser doesn’t support HTML5

Familia hizo zinasema kwamba ni lazima serikali iwasaidie mara moja hasa baada ya watejaji nyara kutoa video yenye kutisha kuhusu mateka hao mwishoni mwa wiki