Wanafunzi wa Kiswahili katika vyuo vikuu Tanzania kupata ufadhili kamili

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma lugha Kiswahili na kutafsiri lugha zingine sasa watafaidika na mpango wa serikali ya kufadhili masomo yao iwapo watakuwa na alama zinazohitajika, waziri wa elimu amesema.