Mchakato wa ardhi ya chuo kikuu cha Kenyatta nchini Kenya wafika mahakamani.
Your browser doesn’t support HTML5
Mahakama moja nchini Kenya imesimamisha kwa muda hatua ya serikali ya kutoa sehemu ya ardhi ya chuo hicho kwa shirika afya duniani WHO hadi pale suala hilo litakaposikilizwa.