Shirika la Fedha duniani IMF lasema bodi yake ya utendaji imeidhinisha mkopo kwa Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Fedha duniani IMF limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha mkopo kwa Tanzania wa dola milioni 1.04 ikisema mfuko huo utasaidia kufufua uchumi wa nchi hiyo.