Kenya yazindua kituo maalum cha kupambana na ugaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imeongeza uwezo wake wa kukabiliana na ugaidi na uhalifu mwingine kama ulanguzi wa dawa za kulevya baada ya kuzindua kituo maalum kitakachofanikisha shughuli za maafisa wa polisi katika kitengo cha kukabiliana na ugaidi Pwani ya Kenya.