Kwa Undani: Kwa nini Rais wa Tanzania Samia Suluhu ameagiza idara nzima ya polisi kufanyiwa uchunguzi?
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.