USAID yatangaza msaada wa dola milioni 255 kukabiliana na ukame Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Marekani la maendeleao ya kimataifa, USAID, limetangaza kwamba litaipatia Kenya dola milioni 255 kama msaada wa dharura na maendeleo kukabiliana na ukame uliokithiri.